Aliyekuwa Mkurugenzi wa Singida ashtakiwa kwa ubadhirifu, adaiwa kulipwa posho Tsh. Mil 7.5 baada ya kutenguliwa

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Singida ashtakiwa kwa ubadhirifu, adaiwa kulipwa posho Tsh. Mil 7.5 baada ya kutenguliwa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Zefrin Kimolo Lubuva ambaye aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Singida, ameshtakiwa kwa Matumizi Mabaya ya Ofisi na Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 7.25

Fedha hizo alilipwa kama posho za kujikimu kwa miezi 6 kuanzia Desemba 2021 hadi Juni 2022 wakati uteuzi wake ulitenguliwa na Rais Februari 4, 2022

Mshtakiwa amekana makosa ambapo Mahakama imeagiza aliyekuwa Mweka Hazina na kuidhinisha malipo hayo aunganishwe kwenye Mashtaka. Kesi itatajwa tena Desemba 29, 2022.

=====================

*KUTOKA MAHAKAMANI SINGIDA: *

Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida, imefunguliwa kesi mpya Ecc.14/2022 - Mshtakiwa akiwa Bw. Zefrin Kimolo Lubuva ambaye aliwahi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Singida kabla ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Samia
 
Back
Top Bottom