Wadau kunataarifa nimeidaka kuwa aliyewahi kuwa mkuu Wa chuo na makamu Wake wamekamatwa tokea asubuhi wapi lupango.
Habari zaidi zinasema ni kutokana na ubadhirfu walioufanya kipindi cha uongozi wao na kushindwa kuwalipa wazabuni ambao walikuwa wakipigwa danadana kuwa serikali haijatoa wakati sio kweli.
Wadau Wa haki tunataka tuone haki ikitendeka,wako wakufunzi walitendwa kwakusema ukweli dhidi ya uongozi dhalimu Wa Shabani Mwiga.
Mpaka Sasa kuna mkufunzi mlemavu ameshindwa kufanya kazi kutokana kuhamishiwa chuo cha Ualimu Monduli ambapo mazingira sio rafiki kwakwe.
Aidha udhaifu huu umechangiwa na udhaifu Wa Mkurugenzi Wa idara Elimu ya Ualimu ndugu Bakari Issa.