Aliyekuwa mlinzi wa Mbowe achukua fomu kugombea Udiwani kupitia CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Aliyekuwa mlinzi mkuu wa mwenyekiti wa CHADEMA mh Freeman Mbowe amechukua fomu za kugombea Udiwani kupitia CCM katika kata ya Mbezi Juu.

Source EATV!
 
Aliyekuwa mlinzi mkuu wa mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amechukua fomu za kugombea udiwani kupitia CCM katika kata ya mbezi juu.

Source Eatv!
Good! Wapo wengi tu ambao wamekuja kuchota taarifa kwa mgongo wa kujiunga
 
we unashangaa hiyo, haushangai mpinzani Zito anamkula kitu maalum wa ccm hadi babake ambaye naye alipata kuwa mwenyekiti wa jumuia ya wazazi ccm anaweweseka?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…