TANZIA Aliyekuwa mmoja wa Makatibu Wakuu wa kwanza Tanzania, Gerald Mbakileki Rugarabamu afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa mmoja wa Makatibu Wakuu wa kwanza Tanzania, Gerald Mbakileki Rugarabamu afariki dunia

sopinta

Member
Joined
May 28, 2020
Posts
46
Reaction score
93
Famila ya Bwa Gerald Rugarabamu wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa Gerald Mbakileki Rugarabamu kilichotokea jumapili asubuhi tarehe 9.8.20katika hospital ya Rubinsia Tegeta Dar es salama, mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Wazo hill Mivumoni Dar es salaam.
Kwa taarifa zaidi za mipango ya mazishi.

Marehemu Rugarabamu, ambaye alikuwa mmoja wa ma-Katibu Wakuu wa kwanza wa Serikali ya awamu ya kwanza baada ya Uhuru, amefariki akiwa na umri wa miaka 98.

Picha wa tano kutoka kushoto mstari wa nyuma anaonekana marehemu akiwa na makatibu wakuu wa kwanza wenzie na Hayati Baba wa Taifa.
IMG_7324.PNG
 
RIP,

lakini naona umecomplicatisha kwenye maelezo ya picha bora useme "wakatikati mstari wa nyuma"
 
Famila ya Bwa Gerald Rugarabamu wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa Gerald Mbakileki Rugarabamu kilichotokea jumapili asubuhi tarehe 9.8.20katika hospital ya Rubinsia Tegeta Dar es salama, mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Wazo hill Mivumoni Dar es salaam.

Kwa taarifa zaidi za mipango ya mazishi.

Marehemu Rugarabamu, ambaye alikuwa mmoja wa ma-Katibu Wakuu wa kwanza wa Serikali ya awamu ya kwanza baada ya Uhuru, amefariki akiwa na umri wa miaka 98. Picha wa tano kutoka kushoto mstari wa nyuma anaonekana marehemu akiwa na makatibu wakuu wa kwanza wenzie na Hayati Baba wa Taifa.
Poleni ndugu na jamaa zake. RIP Mzee.
 
Back
Top Bottom