Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond Platinumz atoa ushauri kwa msanii huyo baada ya kumuita mwanaye 'side kid'

eastmea

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
159
Reaction score
133
Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond Platnumz (Kifesi) atoa ushauri kwa msanii huyo kuhusu kumuita side kid mtoto aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto anayejulikana kwa jina la Dylan.

 
Mmapenda kuleta udaku
Tabu hamuukamilishi

Ngoja nikusaidie



Nimejiuliza kwa kufanya kote kazi kwake ameshindwa vipi kumpa hata mtu barua yaliyoandikwa haya ili apelekewe.

Kiki kagundishwa naye.. acha amtumie pia kujipaisha. Hii nchi imejaa watu wa ajabu.. ajionee aibu au azae yeye nje tumsikie. Kiki tu hakuna lingine hapa.. atangaze kazi zake basi.. au mkutane mpigane kabisa.. shame
 
Huyu jamaa kama angekuwa serious zaidi na kazi yake angepiga hela sana,kwani kufanya kazi na Diamond kumempa umaarufu mkubwa sana na naona anashindwa kuutumia , siku hizi ameamua kuchamba kwa kutumia insta hii si tabia ya kiume.Ujue sisi wanaume huwaga hatuna vinyongo hata tukiwa na beef zetu lakini zinachukuaga muda mfupi na huisha,sasa kwa kulijua hilo kama alikuwa na neno lake basi angewafikishia watu wengine wa karibu na Diamond huo ndio ushikaji ,mimi mwenyewe hata nigombane vipi na marafiki zangu ,hata kama akikosea siwezi kumkosoa mbele ya kadamnasi ,hata kama kaniblock nitatafuta watu wa karibu nitaongea nao wamfikishie ujumbe basi.Sasa yeye analeta habari za wadada wa Bongo Movies.Hebu kifesi fanya kazi yako ,haya maswala ya Diamond na familia yake achana nayo .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…