Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond Platinumz atoa ushauri kwa msanii huyo baada ya kumuita mwanaye 'side kid'

Labda alijua mtoto anayepatikana kutoka kwa Side Chick anaitwa Side Kid πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Elimu Elimu Elimu.
 
Aliyekuwa mpiga picha wa Diamond Platnumz (Kifesi) atoa ushauri kwa msanii huyo kuhusu kumuita side kid mtoto aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto anayejulikana kwa jina la Dylan.
Huyo anaimiss kazi yake,inaonekana anamfuatilia sana boss wake
Kama umefukuzwa kazi,achana na kufuatilia mambo ya muajiri wa zamani
 
mara ya kwanza kusikia jina kifesi nkajua ni wakike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…