Wanajamvi Aliyewahi kuwa Mshindi wa MAISHA PLUS anashikiliwa na Polisi wa Kituo cha Magomeni baada ya kuhusishwa na tukio la Mwanamke mmoja kukutwa amekufa kwa kutupwa Ghorofani katika moja ya Hotel zilizopo Magomeni Mapipa.
Taarifa za awali zinaonyesha kuwa waliingia pamoja Hotelini humo huku Abdul aliomba kumshwa saa 11 asubuhi Ili awahi Airport lakini alidakwa yeye na wenzake kabla ya kuondoka.
Dada huyo amezikwa kwao Dodoma kabla ya sala ya adhuhuri leo 29.04.2019.