Bado wanafamilia hawajaweka bayana..Aisee, D7 mwamba kaondoka? Maisha mafupi sana, nini kimesababisha kifo chake?
Alikuwa mwana sana, tumepiga nae mastori sana enzi za BBM, alitoaga option ya kutuma Voice kwa BBM account yake (2012).
Rest in Peace bro.
Namkumbuka alianziaga VOT - Radio ya Ragge huko Manyema Mboka mojaDee7 (jina lake maarufu) aliekuwa mtangazaji wa radio Kiss FM ya jijini Mwanza amefariki dunia hapo jana tarehe 23.09.2023.
Kwa wale waliokuwa wapenzi wa kipindi cha African Beats pale Kiss FM mtakuwa mnaikumbuka vyema sauti yenye mamlaka ya huyu ndugu yetu na bila kusahau mchango wake mkubwa wa kuzipatia airtime nyimbo nyingi za underground hiphop artists wa kibongobongo.
To put it short, this brother had unconditional love to the game of bongo hiphop. Bila kusahau mapenz yake aliyokuwa nayo na mziki wa reggae...
View attachment 2760460
Tumuombee marehemu apate pumziko la amani. Amiin[emoji1488]
Kisukari alikuwa kalazwa Sekou TureAisee, D7 mwamba kaondoka? Maisha mafupi sana, nini kimesababisha kifo chake?
Alikuwa mwana sana, tumepiga nae mastori sana enzi za BBM, alitoaga option ya kutuma Voice kwa BBM account yake (2012).
Rest in Peace bro.
Kisukari a.k.a sukari utamu ni shida kinamaliza wandishi wetu RFA ...Sad
Aisee, kweli dunia tunapita. Pole sana kwa familia.