FaruYohana 1999
Member
- Feb 15, 2017
- 8
- 23
Aliyekuwa Mtendaji wa Kata ya Siuyu na Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Siuyu amefukuzwa kazi ya utendaji wa kata kwa sababu ya kushindwa kuthibitisha elimu yake. Madai yake ya awali yalikuwa kwamba ana elimu ya kidato cha nne aliyoipata Shule ya Sekondari Mungaa, ambayo hata hivyo ameshindwa kuithibitisha.
1. Kazi hana
2. Ana kesi ya kujibu kwa kuvuruga uchaguzi wa Siuyu.
Anatia huruma sana, amemlilia waliyeharibu naye uchaguzi wa Siuyu, Bi. Maria Naftari Mweteni kwamba amtetee mbele ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, Bi. Rustica Turuka lakini mambo yamebuma.

[HASHTAG]#MALIPONIHAPAPADUNIANI[/HASHTAG]
[HASHTAG]#king davidson[/HASHTAG]