GE2025 Aliyekuwa Mtiania wa ubunge Jimbo la Meatu CCM afunguka taarifa za kutekwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Aliyekuwa Mtiania wa ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu. Godfrey Sukali, akitolea ufafanuzi taarifa zilizoenea jimboni Meatu zikidai ametoweka na watu kuanza kuhisi kama ametekwa.

Ni kweli kwa trakibani miezi miwili iliyopita sikuwa online hadi wakati huu, nilichokitaka ni utulivu wa akili baada ya kumaliza mchakato wa utiaji nia umekamilika, Godfrey Sukali

Your browser is not able to display this video.
 
Chadema sasa hivi wanalazimisha kila mtu aseme ametekwa 🤣🤣🤣🤣
USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…