Mkuu una shilingi ngapi a/c?
Mimi nina vimilioni sasa sijui bado unasapoti akili bila pesa
thA God thA bubbs!!
Fanya yako achana na mambo ya umbea, nchi inashida nyingi zinahitaji fikra siyo mambo ya kijinga ya watu
Kwa mauno yale mwenye mke atafute tu mwingine.Moze iyobo kaa chonjo mwenye mke huyo
Herehoa.Herehoa?,
Kutoka vyanzo vya kuamkinika kabisa vinadai aliyekuwa mume wa star wa bongo movie aunt Ezekiel, anaejulikana kwa jina Sunday Demonte aachiwa guru,
Swali:Hivi kumbe mkata viuno alichukua Mali ya wenyewe au alikuwa na ushahidi wa talaka?
Haya mambo haya naombeni wadukuze tujuzane tafadhal.
thA God thA bubbs!!
Na hii ndoa yake nyingine itakuwaje!!Herehoa?,
Kutoka vyanzo vya kuamkinika kabisa vinadai aliyekuwa mume wa star wa bongo movie aunt Ezekiel, anaejulikana kwa jina Sunday Demonte aachiwa guru,
Swali:Hivi kumbe mkata viuno alichukua Mali ya wenyewe au alikuwa na ushahidi wa talaka?
Haya mambo haya naombeni wadukuze tujuzane tafadhal.
thA God thA bubbs!!
Cwt wangu mmmmMwenye mke akafungue kesi tu... anaweza kumpiga faini ya kutosha tuuuuu....
hujielewi wewe!Fanya yako achana na mambo ya umbea, nchi inashida nyingi zinahitaji fikra siyo mambo ya kijinga ya watu
hujielewi wewe!
ficha aibu yako hii, tafuta jukwaa la kilimo uko
Hahahahaaaaaaa wapare bwana . Naona umeweka lugha ya kinyumban kunogesha .Herehoa?,
Kutoka vyanzo vya kuamkinika kabisa vinadai aliyekuwa mume wa star wa bongo movie aunt Ezekiel, anaejulikana kwa jina Sunday Demonte aachiwa guru,
Swali:Hivi kumbe mkata viuno alichukua Mali ya wenyewe au alikuwa na ushahidi wa talaka?
Haya mambo haya naombeni wadukuze tujuzane tafadhal.
thA God thA bubbs!!
Mbona ndio was wanavyoishi...kufanya scandals n.a. umbeya. What goes around comes aroundFanya yako achana na mambo ya umbea, nchi inashida nyingi zinahitaji fikra siyo mambo ya kijinga ya watu