TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Mufindi Kaskazini, Irene Mhapa afariki Dunia

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
276
Reaction score
574
Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Mufindi Kaskazini amefariki Dunia. IRENE MHAPA alikuwa mkufunzi wa shughuli za Ujasiriamali na Vikundi ndani ya Chama.
Mazishi yatafanyika siku ya Leo Jumanne Kijijini kwao Itona.
Uongozi wa CHADEMA-NYASA unatoa pole kwa ndugu jamaa na familia.

326141993_905949793765136_7623870665440408927_n.jpg
 
TANZIA.
Aliyekua Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Mufindi Kaskazini amefariki Dunia.IRENE MHAPA alikua mkufunzi wa shuguli za Ujasiriamali na Vikundi ndani ya Chama chetu pia.
Mazishi yatafanyika siku ya Leo Jumanne Kijijini kwao Itona.
Uongozi wa CHADEMA-NYASA unatoa pole kwa ndugu jamaa na familia.
Poleni sana jameni mbele yake nyuma yetu.
 
TANZIA.
Aliyekua Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Mufindi Kaskazini amefariki Dunia.IRENE MHAPA alikua mkufunzi wa shuguli za Ujasiriamali na Vikundi ndani ya Chama.
Mazishi yatafanyika siku ya Leo Jumanne Kijijini kwao Itona.
Uongozi wa CHADEMA-NYASA unatoa pole kwa ndugu jamaa na familia.
Pumzika kwa Amani!
 
Pumzika kwa Amani mama Mhapa, Mwenyezi Mungu amekuita kwenye kipindi ambacho chama na nchi kwa ujumla zilihitaji mno mchango wako, kazi ya Mola haina makosa na haiwezi kurekebishwa na binadamu yeyote yule,pole mno kwa wanafamilia wake
 
TANZIA.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Mufindi Kaskazini amefariki Dunia. IRENE MHAPA alikuwa mkufunzi wa shughuli za Ujasiriamali na Vikundi ndani ya Chama.
Mazishi yatafanyika siku ya Leo Jumanne Kijijini kwao Itona.
Uongozi wa CHADEMA-NYASA unatoa pole kwa ndugu jamaa na familia.

View attachment 2484459
MUNGU ampe Pumziko la Milele
 
Tuliumbwa kutoka ktk mavumbi ya ardhi na mwisho wa mapigano yote tunapaswa kuyarejea mavumbi ya ardhi.Pumzika kwa amani ndugu yetu!
 
Back
Top Bottom