Poleni sana jameni mbele yake nyuma yetu.TANZIA.
Aliyekua Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Mufindi Kaskazini amefariki Dunia.IRENE MHAPA alikua mkufunzi wa shuguli za Ujasiriamali na Vikundi ndani ya Chama chetu pia.
Mazishi yatafanyika siku ya Leo Jumanne Kijijini kwao Itona.
Uongozi wa CHADEMA-NYASA unatoa pole kwa ndugu jamaa na familia.
Pumzika kwa Amani!TANZIA.
Aliyekua Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Mufindi Kaskazini amefariki Dunia.IRENE MHAPA alikua mkufunzi wa shuguli za Ujasiriamali na Vikundi ndani ya Chama.
Mazishi yatafanyika siku ya Leo Jumanne Kijijini kwao Itona.
Uongozi wa CHADEMA-NYASA unatoa pole kwa ndugu jamaa na familia.
MUNGU ampe Pumziko la MileleTANZIA.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Jimbo la Mufindi Kaskazini amefariki Dunia. IRENE MHAPA alikuwa mkufunzi wa shughuli za Ujasiriamali na Vikundi ndani ya Chama.
Mazishi yatafanyika siku ya Leo Jumanne Kijijini kwao Itona.
Uongozi wa CHADEMA-NYASA unatoa pole kwa ndugu jamaa na familia.
View attachment 2484459