TANZIA Aliyekuwa Mwenyekiti wa Suzuki Motor, Osamu Suzuki, afariki dunia akiwa na miaka 94

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mfanyabiashara mkongwe wa Japan na Mwenyekiti wa zamani wa kampuni ya Magari ya Suzuki Motor Bw. Osamu Suzuki (94), amefariki dunia.
IMG_2076.jpeg

Suzuki aliyeiongoza Kampuni hiyo kwa zaidi ya miaka 40 alifariki Disemba 25, baada ya kuugua ugonjwa wa Saratani.

Atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuiongoza Kampuni hiyo kuingia India, na kuleta mapinduzi katika sekta ya Magari duniani
 
View attachment 3186818

Haya ndio majembe! Chawa wanashinda mitandaoni,wakimpigia mjinga makofi na kuimba mitano Tena,
 
Mzee alikuwa na bahati sana..alipendwa na baba mkwe wake hadi kupewa uongozi wa kampuni ya Suziki. RIP
 
Back
Top Bottom