Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Shangazi habari za asubuhiTunaposema money can't afford to buy death.
Angekuwa hana pesa angekufa hata na miaka 40Tunaposema money can't afford to buy death.
TAfuta hela,Tunaposema money can't afford to buy death.
Tunaposema money can't afford to buy death.
Haya ndio majembe! Chawa wanashinda mitandaoni,wakimpigia mjinga makofi na kuimba mitano Tena,Mfanyabiashara mkongwe wa Japan na Mwenyekiti wa zamani wa kampuni ya Magari ya Suzuki Motor Bw. Osamu Suzuki (94), amefariki dunia.
View attachment 3186818
Suzuki aliyeiongoza Kampuni hiyo kwa zaidi ya miaka 40 alifariki Disemba 25, baada ya kuugua ugonjwa wa Saratani.
Atakumbukwa kwa mchango wake mkubwa wa kuiongoza Kampuni hiyo kuingia India, na kuleta mapinduzi katika sekta ya Magari duniani