Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono afariki usingizini

Malaika wa kiume wanafurahi kwa ujio wake..ngoja akawape style mpya za duniani
 
Hahaaaahaaa! Umesahau na pinky.
Nimemcheki sura ktk mtandao kumbe ni mzungu, hamna kitu kabisa! Nilizoea kuona wale weusi wa asili ya afrika.
hahaha pinky kweli mwanangu....kama mzungu jana swaga kivile ma black ndio hatarii........af hata sijamcheki naona hana ishu.....awards zao mwanangu sijuizinaendelea maana nilipogunduaga wana tuzo nilichoka sana
 
Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono afariki usingizini
  • 5 Aprili 2016
Mshirikishe mwenzako

Image captionAliyekuwa nyota wa filamu za ngono Meghan Wren
Aliyekuwa nyota wa filamu za ngono Amber Rayne amefariki nyumbani kwake mjini Los Angeles ,maafisa wamethibitisha.

Marafiki na waliokuwa wafanyikazi wenzake walituma ujumbe katika mtandao wa Twitter wakimuenzi mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 31 ambaye alifariki usingizi wikendi iliopita.

Amber alikuwa nyota wa filamu za ngono kwa muongo mmoja kabla ya kujiuzulu mwaka 2015.

Alikuwa miongoni ,mwa kundi moja la wanawake ambao walidai kwamba James Deen,ambaye pia ni nyota wa filamu za ngono alimshambulia.

Hatahivyo Deen amekana madai hayo.

Mkaguzi wa matibabu katika kaunti ya Los Angeles ameiambia Newsbeat kwamba hakuna sababu rasmi ya kifo chake iliothibitishwa.

Hatahivyo wamesema kuwa familia yake imearifiwa.Bi Rayne ,ambaye jina lake rasmi ni Meghan Wren,alitangaza kujiuzlu kutoka kazi hiyo mwaka uliopita.

Wafanyikazi wenza katika soko la filamu za ngono walituma ujumbe wa kushtushwa na kifo chake.
 
Atakuwa alikuwa anaota anadunywaaaaa
 
Nyie mnaohukumu ni kama nani? Kama alistaafu Kucheza ngono since last year, mnajuaje kama ametubu? Achezi hizo, kazi ya kuhukumu ni ya Muumba tu

Hizo movie alizoacha ndio zitakazokuja kuangaliwa na wanao na kuwachanganya akili...muwe mnaangalia vitu vya kutetea!!..basi mnatetea hadi ushetani??
 
nan
Nyie mnaohukumu ni kama nani? Kama alistaafu Kucheza ngono since last year, mnajuaje kama ametubu? Achezi hizo, kazi ya kuhukumu ni ya Muumba tu
Nani kakudanganya kuwa msamaaha unatolewa kihurahisi nanma hiyo?soma mfano wa zakayo katika biblia luka 19-8 utaona kwamba kama alikuwa ametubu alitakiwa afanye jitihada za kuondoa filim zake kwenye soko ambazo bado ziko hai documented zinaendelea kutumiwa na bwana shetani kuharibu maadili au kama ni mikataba na kampuni inahusika angetakiwa kutoka hadharani na kukana picha hizo ama kujaribu kubadilisha hata jina ili kujivua na laana
 
Kaphoto kidogo alvyokufa ucngzn[emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…