Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

Aliyepo Karibu na Kwaya Master hapo Uwanja wa Magufuli amuambie waimbe wimbo wa Kweli Ni Huzuni.
 
Na katika hao watoto utakao wazaa naomba hawa nao wawepo.

1. Ben Saanane.

2. Yule mwandishi wa habari gazeti la mwananchi.

3. Wale walio fungwa kwenye viroba

Nk nk nk.
 
Hizi redio kuna wakatoliki lakini ni wajinga hawachambui na ku clarify vizuri.

Kinachotokea ni hiki.

Kwanza kutakuwa na misa kama kawaida. Misa huwa inaisha mkishamaliza kukomunika halafu padri anasema NENDENI NA AMANI.

Hiyo misa ndiyo itasomwa na askofu Nyaisonga.

Kisha baada ya misa maiti hupelekwa makaburini kuzikwa. Kabla ya kuzikwa huwa pale mskaburini huwa kuna taratibu fulani za mazishi. Hizi ndizo zinaitwa ibada na nduzo zitaongozwa na askofu NiweMugizi.

Kwa hiyo Sala ya mazishi itaongozwa na Askofu Niwemugizi au Raisi wa Baraza la Maaskofu (TEC)?.. Maana nimesikiliza East Africa Radio asubuh hii wamesoma ratiba ya leo na wamesema Sala itaongozwa na Rais wa TEC
 
Yule aliyeulizaga maaskofu hawapo dar ktk kuaga leo kuna maaskofu 10.
 
Misa takatifu ya kumuombea hayati Magufuli inaongozwa na Rais wa TEC baba askofu mkuu Nyaisonga.

RIP Magufuli!
 
Si marehemu alisema siyo raia?
Hapana sio huyu Nyaisonga anatoka Iringa huyu anaongoza Misa kanisani.

Atakayeongoza Ibada ya Mazishi ndo Niwemugizi ambaye alipata misuko sumo na uhamiaji.

Keywords: Misa & Ibada(Tofauti).
 
Misa takatifu ya kumuombea hayati Magufuli inaongozwa na Rais wa TEC baba askofu mkuu Nyaisonga.

RIP Magufuli!
Niwemugizi atakuwepo kama kawa kuchagiza hapa na pale wakati wa ibada ya kumsindikiza aliyemnyang'anya passoport na kuhoji uraia wake.

Halafu inaonekana bado upo Kihesa milimani umeganda kwenye tv yako ya chogo unaangalia tbc kama mm huku ukijidai kuleta uchambuzi uchwara hapa jukwaani
 
Hapana sio huyu Nyaisonga anatoka Iringa huyu anaongoza Misa kanisani

Atakayeongoza Ibada ya Mazishi ndo Niwemugizi ambaye alipata misuko sumo na uhamiaji

Keywords: Misa & Ibada(Tofauti)
Asante sn mkuu kwa ufafanuzi
 
Na katika hao watoto utakao wazaa naomba hawa nao wawepo.

1. Ben Saanane.

2. Yule mwandishi wa habari gazeti la mwananchi.

3. Wale walio fungwa kwenye viroba

Nk nk nk.
Kabisa Mungu akipenda nao ni wazae tena wazaliwa mapacha wa kiume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…