TANZIA Aliyekuwa Rais wa UDSM Mathias Simon "Kipara" amefariki dunia

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Aliyekuwa mgombea Ubunge jimbo la Kwela, Daniel Naftal ambaye pia ni mwanachama wa CHADEMA ameoneshwa kuhuzunishwa na kifo cha aliyekuwa Rais huyo wa UDSM

DF.png

Mathias Simon alikuwa Rais wa UDSM 2010/2011.
 
Pale CC ya maCCM karibia yote ni mazee wafanya maamuzi yote kwenye hii ni mazee, kule wizaran na kwenye mataasisi yote n mazee siyo ya kufa wala kesho ila vijana tunaondoka kama upepo wa kisuli suli..

Pumzika kwa aman kamanda
 
Haya mazee yanatua yanahofia tutachukua nafasi zao wakati hayajajiandaa kustafu na matoto Yao bado mavilaza
 
Pale CC ya maCCM karibia yote ni mazee wafanya maamuzi yote kwenye hii ni mazee, kule wizaran na kwenye mataasisi yote n mazee siyo ya kufa wala kesho ila vijana tunaondoka kama upepo wa kisuli suli..

Pumzika kwa aman kamanda
Unachuki na 'mazee' kwa namna unavyoyaelezea.
 
Back
Top Bottom