Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.
Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.
Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).
Hukumu ya Kesi ya kulawiti inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahya Nawanda, inatarajiwa imesomwa leo Ijumaa Novemba 29, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ambapo Mahakama imesema hana hatia
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikimkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi.
Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa shitaka moja la kulawiti kinyume na kifungu namba 154 (1) (a) cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu sura ya 16.
Akizungumza na Wanahabari baada ya hukumu hiyo, Nawanda amesema "Namuachia Mungu." kisha akaondoka eneo la Mahakamani.
Awali, kabla ya ushahidi wa upande wa mshtakiwa kuanza kutolewa, Julai 16, 2024 mbele ya Hakimu Marley, mashahidi wawili wa Jamhuri ambao ni Mwanafunzi anayedaiwa kulawitiwa pamoja na mama mzazi wa mwanafunzi huyo walifungua ukurasa wa kutoa ushahidi ambapo waliutoa kwa siri (faragha).
The regional commissioner of the Tabora Region Ukiwaona Ditopile Mzuzuri has been arrested under suspicion of shooting dead in the head a Dala-Dala Driver last night. News that reached TZUK.net from a very credible source in Tanzania say that Ditopile's vehicle was hit by the DalaDala that sped...