STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Kuna Wanaume huwa nawasikiaga wakiongea kwenye Vijiwe halafu huwa naishia kuwashangaa tu, "Demu wangu nampa KILA KITU lakini bado anachepuka sijui kwanini HARIDHIKI"....Sio kweli blaza!! Aliyekwambia Mwanamke anataka KILA KITU ni nani???Mwanamke anataka kitu KIMOJA TU.. Kama hela kashapewa sana na Si ajabu waliommiliki kabla yako walikuwa wanampa hela nyingi kuliko wewe na viLAKI vyako vya ngama.. Unadhani kwa sababu we ni BOSI basi inatosha??Unadhani kwa sababu unamhonga inatosha kumtuliza??
Kisa una Title ndo awe wako peke yako?? Siku ukijua Anayekugongea UTASHANGAA mpaka Utaumwa Tezi Dume hapohapo.. Kijamaa tu hakina hela, kina sura kama Katiba Mpya lakini ndo KINAKUMEGEA.. Mwanamke anataka Apewe kitu Ambacho Hakuna Mwanaume amewahi kumpa huko nyuma.. Give her Something New She has never experienced, Marudio waachie ITV!