Aliyekwambia mwanamke anataka kila kitu nani?? Mwanamke anataka kitu kimoja tu..!!

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Kuna Wanaume huwa nawasikiaga wakiongea kwenye Vijiwe halafu huwa naishia kuwashangaa tu, "Demu wangu nampa KILA KITU lakini bado anachepuka sijui kwanini HARIDHIKI"....Sio kweli blaza!! Aliyekwambia Mwanamke anataka KILA KITU ni nani???Mwanamke anataka kitu KIMOJA TU.. Kama hela kashapewa sana na Si ajabu waliommiliki kabla yako walikuwa wanampa hela nyingi kuliko wewe na viLAKI vyako vya ngama.. Unadhani kwa sababu we ni BOSI basi inatosha??Unadhani kwa sababu unamhonga inatosha kumtuliza??

Kisa una Title ndo awe wako peke yako?? Siku ukijua Anayekugongea UTASHANGAA mpaka Utaumwa Tezi Dume hapohapo.. Kijamaa tu hakina hela, kina sura kama Katiba Mpya lakini ndo KINAKUMEGEA.. Mwanamke anataka Apewe kitu Ambacho Hakuna Mwanaume amewahi kumpa huko nyuma.. Give her Something New She has never experienced, Marudio waachie ITV!
 
Mkuu topic zako aidha unatafuta PhD ya Mapenzi maana zikipangwa kwa pamoja unajaza kurasa 1,000 au UH+ inakusumbua. Kwa vyovyote itabidi upande daraja hapa JF.
 
Tatizo Vitambi nguvu za kusugua hatuna. Tunaishiwa pumzi mapema mno
 
Inaelekea kichwa chako Twenty Four Seven Three Six to Five unawaza ngono/mapenz mapenz tu.
 
Naona unatafuta UGWIJI wa mada za kimapenzi humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…