MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Salama wadau
Unaambiwa binadamu hukutana lakini milima haikutani na malipo ya ubaya ni hapahapa duniani.
Sasa jamaa baada ya kununua Twitter kwanza kawatimua management yote na baadaye staff wapewa alerts Fagio LA chuma litapitishwa kuondoa baadhi ya wafanyakazi.
Sipati picha bwana Trump akishangilia kwa kukata mauno maana alilalamika sana account yake ilivyofungwa.