OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
....umenikumbusha timu yangu ya Liverpool.Uzi unajieleza.....Kama kuna mtu amempiga misumari kijana wetu mahiri Shiza Kichuya na Muvugo, basi inatosha jamani, mashabiki tunaumia sana. Tunakwenda kwenye mabanda ya kutizama mpira tukiwa hatuna raha kabisa. Mkishinda kagoli kamoja mnamshukuru Mungu.
Hawa vijana wako vizuri sana, ukiwaona uwanjani wanavyohaha kurudisha imani kwa sisi mashabiki unaona kabisa kwamba wamefungwa miguu.
Tuacheni na sisi tufurahi kidogo katika kipindi hiki kilichobaki, wewe mpiga misumari fikiria toka mwaka gani hatujachukua kombe hili
INAUMA
Mapenzi ya timu sio chama cha siasa kwamba leo upo UKAWA kesho CCMHahaha we hama tu utaendeleaje kuteseka
Kwani hujui kuwa timu ni chama!!!Mapenzi ya timu sio chama cha siasa kwamba leo upo UKAWA kesho CCM
Wewe ndio huna ufahamu ni wapi nimesema timu sio chama? mimi nimesema sio chama cha siasa. unakurupuka tu kama umebanwa nyaKwani hujui kuwa timu ni chama!!!
Au unajitoa ufaham kuwa hujawahi sikia wanachama wa chama fulan cha mpira?
Aaa pole pole kaka usije ukatoa harufuWewe ndio huna ufahamu ni wapi nimesema timu sio chama? mimi nimesema sio chama cha siasa. unakurupuka tu kama umebanwa nya
Aisee ni kweli wamewapiga misumiri kabisa na sijui hizo misumiri kama watawaregezea..!!??
Huu uzi unani kumbusha baadhi ya vijana wangu wa pale Jangwani....Mabeki wameishajua ujanja wa Kichuya. Hakuna cha misumari hapo. Sasa inabidi ajiongeze ili aje kivingine. Ndivyo mpira ulivyo.
Zaidi ya hapo, kila timu imeishajua mbinu za Omog. Lazima aje na plan B wakati mwingine.
Mkuu huku Yanga SC tumejaa aisee....hakunanafasi ya mamluki. lolHahaha we hama tu utaendeleaje kuteseka