Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huyu siyo kocha , labda ana kazi nyingineHuyu kocha amenishangaza sana, anafanya mabadiliko ya wachezaji 3 ktk dakika ya 90 kana kwamba timu yake inaongoza wakati imeshafungwa. Yaani anachelewesha muda nakujihukumu mwenyewe. TFF timua huyo kocha.
Vv
Mmeanza jomba muacheni Poulsen maana ndio mechi ya kwanza,hicho kikosi atakuwa kapangiwa na Sele matolaKocha bongo alikuwa Amunike tu
Na hasa Matolason.Wale wasaidizi wake Mgunda na Matola ndio wakuwaondoa! Wanafanya kazi gani?
yeye mwenyewe amewahi kufanya nini kwenye soka ?Wale wasaidizi wake Mgunda na Matola ndio wakuwaondoa! Wanafanya kazi gani?
Hoja siyo uzawa ila aina ya kocha, Julio alipewa timu ya vijana unakumbuka matokeo yalikuwa vipi?Naona hapa tumwepigwa tena. Like tunashindwa vipi kujifunza kwa wenzetu ambao sasa wameona bora kuwapa wazawa chance kuliko una hire mgeni alafu bado tunapigwa tuu.
Ndugu hawa makocha wakiswahili ni virusi hasa huyo Sele! Makocha kadhaa wakigeni pale Bunju wameonja sumu ya unafiki wa huyu jamaa! Kama tunamuhukumu kocha mkuu tusiwaache hawa waswahili wetu!yeye mwenyewe amewahi kufanya nini kwenye soka ?
Hoja bado ni pale pale wazawa...tunatakiwa hao wazawa tuwaendeleze na tukawasomeshe. Wapo makocha nchi hii wanaweza endelezwa.Hoja siyo uzawa ila aina ya kocha, Julio alipewa timu ya vijana unakumbuka matokeo yalikuwa vipi?
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Wazawa wanatakiwa wajiendeleze wenyewe, wakishasoma wasiwaze kufundisha Simba au yanga, watoke nje ya nchi kutafuta timu za kufundisha tukiona uwezo wao ndio tufikirie kuwapa timu ya Taifa.Hoja bado ni pale pale wazawa...tunatakiwa hao wazawa tuwaendeleze na tukawasomeshe. Wapo makocha nchi hii wanaweza endelezwa.
Sasa tunaishia wapa experience makocha wakigeni wakati hatupati chochote.
Kwanza kujiendeleza wenyewe bila support ya government ni ngumu. Kumbuka licences za uefa can cost up to 30million. Tuwe wakweli makocha wangapi wazawa wanaweza kulipa that amout ukizingatia wakati wao wanacheza pay ilikuwa magumashi?Wazawa wanatakiwa wajiendeleze wenyewe, wakishasoma wasiwaze kufundisha Simba au yanga, watoke nje ya nchi kutafuta timu za kufundisha tukiona uwezo wao ndio tufikirie kuwapa timu ya Taifa.
Timu ya taifa sio ya majaribio ya kuwapa kazi kwa kigezo cha uzawa bali uwezo ndio kigezo kikuu
Mzawa yupi anaweza kufundisha timu yetu ya taifa ?Naona hapa tumwepigwa tena. Like tunashindwa vipi kujifunza kwa wenzetu ambao sasa wameona bora kuwapa wazawa chance kuliko una hire mgeni alafu bado tunapigwa tuu.