Aliyemsababishia mufti matatizo anatesa na range rover sport mwanza

mourad77

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
174
Reaction score
41
Kijana maarufu kwa jina la Karama AKA Don ambaye inasiadikiwa kuwa ndie aliemletea Mufti Mkuu Sheikh Issa Shaaban Simba Kasheshe kwa kumuunganishia Deal la kuuza mali za waislam Jiji Dar es salaam ikiwemo kiwanja cha kule Chang'ombe
kwa sasa hivi yupo mjini mwanza akitesa na Gari la Kifahari aina ya Range Rover Sport Lanye Namba T***APX
Kijana Huyu amabe anasadikiwa Amekuwa akimuunganishia Deal za viwanja vya Wakfu pamoja na nyumba mara kadha akishirikiana na Ismail (miiliki wa Isamil Hotel)Lumumba,
Hajajulikana ni amekimbia Dar es Salaam au amekuja kufanikisha madeal mengine maana inasadikiwa mara ya mwisho alikunja kiasi cha 400 Milioni za kitanzania huku akimuacha mzee wa kifipa Mufti akiambulia 200 Milioni na kigari kichakavu cha Toyota Cresta ndio maana hapa mwanza amekuwa akiishi katika mahoteli ya kifahari kama Gold Crest na New Mwanza Hotel Picha yake itabaandikwa Soon Inaeelekea Kiwanja Hicho ndio kilichoripua Fujo la kIna Sheikh Issa Ponda
Nawakilisha
 
Duuh, huyu mufti huenda ndiyo chanzo cha vurugu
za waislamu.
 
Kwa hiyo kumbe kiwanja kiliuzwa kihalali na kiongozi mkuu! sasa kwa nini mmiliki mpya (mnunuaji) anavamiwa tena na akina Ponda, hawajui kuwa kimeshauzwa?
 
Wa tz ni watu wenye wivu sana..
 
Kijana maarufu ambaye inasadikiwa......

Hii ni tetesi aiseeeee, tulinde hadhi ya JF. Kuweka picha ya Range Rover yake ni kumuonea maana latest model ya range ni kama $180,000 hivyo hizo hela alipata kama commission ya kuuza kiwanja ni wa wazi zingeishia kwenye kununua hilo gari.

Sema huyo jamaa ana madeal yake mengi na kama kuna ukweli basi hilo la mufti ni moja ya madeal yake na ndiyo maana anaishi maisha ya kifahari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…