B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,800 Reaction score 4,930 Dec 27, 2025 #21 maandamano said: Swali langu ni hilo tu tumjue huyu Lofa anasaligi parokia gani, tupate uhakika ni muumini mwenzetu au ni pandikizi? Click to expand... Sema tu Roma siku hizi wamekuwa wapole sana, angekoma huyu fala
maandamano said: Swali langu ni hilo tu tumjue huyu Lofa anasaligi parokia gani, tupate uhakika ni muumini mwenzetu au ni pandikizi? Click to expand... Sema tu Roma siku hizi wamekuwa wapole sana, angekoma huyu fala
Kubwjing JF-Expert Member Joined Aug 2, 2025 Posts 3,289 Reaction score 5,964 Dec 27, 2025 #22 MAGALATIA Mkishikwa mahala vizuri ndio mnaanza kuuliza maswali ya Hovyo🤣🤣🤣 Huyo ni Mkatoliki mwenzenu ila ni Mzalendo na aliyejitambua...hataki taharuki nchini. Kitima atajuta kuhatarisha amani ya nchi.
MAGALATIA Mkishikwa mahala vizuri ndio mnaanza kuuliza maswali ya Hovyo🤣🤣🤣 Huyo ni Mkatoliki mwenzenu ila ni Mzalendo na aliyejitambua...hataki taharuki nchini. Kitima atajuta kuhatarisha amani ya nchi.
K Kalamu Platinum Member Joined Nov 26, 2006 Posts 22,898 Reaction score 33,309 Dec 27, 2025 #23 Munch wa annabelle said: We andaa sadaka mengne hayakuhusu Click to expand... Hapana, mimi nitaondoa makombo unayoyategemea toka kwa Samia, tuone hali yako itakuwaje.
Munch wa annabelle said: We andaa sadaka mengne hayakuhusu Click to expand... Hapana, mimi nitaondoa makombo unayoyategemea toka kwa Samia, tuone hali yako itakuwaje.