Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Mwanamke aliyefungua mashtaka kuhusu wasanii maarufu Jay-Z na Sean "Diddy" Combs kumbaka alipokuwa na umri wa miaka 13 mwaka 2000, amefunguka kuwa sio nyuso zote anazikumbuka vizuri kwenye kumbukumbu zake kwani ni zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Mwanamke huyo aliyetambuliwa kwa jina la Jane Doe ambalo si jina lake halisi, wakati wa mahojiano yake na kituo cha NBC alisema,
'Huenda nilifanya makosa kumtambua."
Aidha, pia kuna tofauti kati ya kauli yake Jane Doe na ile ya baba yake kuhusu wakati na maelezo ya matukio yaliyofuata baada ya tukio la kudaiwa. Jane Doe anadai kwamba baba yake alimchukua baada ya tukio hilo, lakini baba yake amekiri kutokumbuka vizuri tukio hilo, akisema hakumbuki vizuri kufanya safari ndefu za kuendesha gari umbali wa saa tano ambazo zingehitajika kutoka eneo la shambulio linalodaiwa.
Chanzo ManaraTV