Aliyemtuhumu Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kumshambulia adaiwa kufariki

Aliyemtuhumu Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kumshambulia adaiwa kufariki

Precious Diamond

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2023
Posts
593
Reaction score
1,376

"Watanzania wenzangu mimi nilipigwa tarehe 8/3/2020, nilipigwa na Elibariki Kingu alinipiga nikaenda Mandewa hospitali ya Mkoa, nikaenda Benjamini Mkapa wakanipeleka Muhimbili, nikatibiwa na kufanyiwa operation mbili kichwani, nikaambiwa nirudi mwezi wa 8 lakini sikuweza kurudi kwasababu nilikuwa sina hela.

"Watanzania wenzangu ninaomba mnisaidie kwa yule atakayeguswa anisaidie, mimi sina shida na mtu ninaomba mnisaidie. Elibariki alinipiga bila kosa, mimi sio mwizi na wala sina tatizo lolote, ninaomba mnisaidie."


Pia soma: Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

- Kiongozi wa CHADEMA anayedaiwa kupigwa na kuumizwa na Elibariki Kingu asafirishwa kuelekea Dar kwa matibabu zaidi
 
View attachment 2971139
"Watanzania wenzangu mimi nilipigwa tarehe 8/3/2020, nilipigwa na Elibariki Kingu alinipiga nikaenda Mandewa hospitali ya Mkoa, nikaenda Benjamini Mkapa wakanipeleka Muhimbili...
Kale kadegree ka Mzumbe hakana msàada? Ht unaibu waziri? Kumbe lishirikina. Shenzi atavuna alichopanda
 
R.I.P nenda kamanda.
kwa mkono wa Mungu kila ubaya utalipwa hapahapa Duniani.
Tatizo la Watanzania ndio hili, kuweka imani katika mambo ambayo yako ndani ya uwezo wao kuyachukulia hatua stahiki! Mtu anaua mtu unasema atalipwa kwa mkono wa Mungu? Nonsense, Mungu hayupo pale kuwalipia watu visasi. Imefikia mtu anaamini akiombewa hela itaingia kwenye simu kwa muujiza. Hopeless people tumekuwa
 
Back
Top Bottom