Mhe. Rais nimekushukuru kwa kumtumbua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Binadamu tunatakiwa tuwe na utu, upendo, mshikamano na weledi katika utendaji kazi za umma.
Mhusika aliyetumbuliwa ajifunze kwa matamshi yake na afahamu kuwa watu wa Mara ni waungwana, wapenda watu na siyo wanafiki. Karibu sana Mhe. Mtanda Mkoani Mara na nakuhakikishia kuwa utapafurahia utakapshirikiana na wananchi.
Pia soma: Waitara: Mkuu wa mkoa amenitukana Mpumbavu na Mshenzi mbele ya Waziri Mabula. Kama hamnitaki semeni Nitajiuzulu
Meja Jenerali Suleiman Mzee