Mhe. Rais nimekushukuru kwa kumtumbua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Binadamu tunatakiwa tuwe na utu, upendo, mshikamano na weledi katika utendaji kazi za umma.
Mhusika aliyetumbuliwa ajifunze kwa matamshi yake na afahamu kuwa watu wa Mara ni waungwana, wapenda watu na siyo wanafiki. Karibu sana Mhe. Mtanda Mkoani Mara na nakuhakikishia kuwa utapafurahia utakapshirikiana na wananchi.
Bila kumtag Lucas mwashambwa na ChoiceVariable huu uzi unakosa vishusha nyongoMhe. Rais nimekushukuru kwa kumtumbua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Binadamu tunatakiwa tuwe na utu, upendo, mshikamano na weledi katika utendaji kazi za umma.
Mhusika aliyetumbuliwa ajifunze kwa matamshi yake na afahamu kuwa watu wa Mara ni waungwana, wapenda watu na siyo wanafiki. Karibu sana Mhe. Mtanda Mkoani Mara na nakuhakikishia kuwa utapafurahia utakapshirikiana na wananchi.
ni yupi huyo aliyetumbuliwa?mtujulishe basi au ni matumizi ya maneno yasiyofaa?Mhe. Rais nimekushukuru kwa kumtumbua aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Binadamu tunatakiwa tuwe na utu, upendo, mshikamano na weledi katika utendaji kazi za umma.
Mhusika aliyetumbuliwa ajifunze kwa matamshi yake na afahamu kuwa watu wa Mara ni waungwana, wapenda watu na siyo wanafiki. Karibu sana Mhe. Mtanda Mkoani Mara na nakuhakikishia kuwa utapafurahia utakapshirikiana na wananchi.
Maj. Gen S Mzee anarudishwa makao kuna shughuli huko usiwe na papara.
Ni sawa tu walivyorudishwa makao Maj. Gen. Ibuge, Gaguti na mbuge ili kwenda ku replace ma gape MMJ.
Yah kwa Mbuge hayupo MMJ hapo nilimpa mfano tu wakati wanatolewa hao maafande kutoka kwenye U RC kurudi jeshini katika majukumu yao halisi.Mbughe hayupo MMJ
OkayYah kwa Mbuge hayupo MMJ hapo nilimpa mfano tu wakati wanatolewa hao maafande kutoka kwenye U RC kurudi jeshini katika majukumu yao halisi.
Mbona Mwigulu aliita wabunge waganga wa kienyeji hajatumbuliwa!?Good Governance! Heshima tele kwako Mama Samia. Role Model in deed.