Aliyemuua Mkurugenzi wa Bima Marekani akamatwa, agoma kurudishwa alikokimbia

espy

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2021
Posts
363
Reaction score
706
Ingekuwa Bongo angepigwa kofi kerbu moja na Tanganyika jeki akala mchanga. Akiamka anaongoza njia.

Marekani wametumia sheria inayosema unaweza kupinga kusombwa sombwa ovyo ovyo bila utaratibu. Bado wanafuatilia mchakato wa kumrudisha New York alikoua na kukimbia.

Wakimlazimisha kumzoa kwa makofi Jaji wa kesi ya msingi anaweza kumwachia huru!

Kule ndio kuna wanasheria wasomi, na majaji wa ukweli.
 
Hamia huko bro
Kwani wewe unapaenda watu watumie mabavu na makali,o kufikiri badala ya ubongo waliopewa?

Sheria zimetungwa ili watekelezaji na wasimamizi wazifuate kikamilofu.

Mambo ya kutumia mabavu badala ya akili ndiyo husababisha watuhumiwa wengi kuachiwa huru kwenye kesi ndogo anapo rise kuteswa na kutwezwa utu wakati na baada ya ukamataji.

Vinginevyo kama huhudhurii ama kufuatilia masuala ya kimahakama.
 
Sheria ni lazima kuzifuata
 
kwan unazan ccmu wanapenda aende , hizo kura za kishindo watazipata wap ? lzm muwepo wengi humu ili muonekane mnaipenda nchi yenu , kumbe mpo jela ya ccmu

Sisiem wamechoka, lakini la kusikitisha hata zaidi m'badala wake wamechoka mpaka wanazimia.
 
kwan unazan ccmu wanapenda aende , hizo kura za kishindo watazipata wap ? lzm muwepo wengi humu ili muonekane mnaipenda nchi yenu , kumbe mpo jela ya ccmu
🤣🤣🤣
 
Ingekuwa Bongo angepigwa kofi kerbu moja na Tanganyika jeki akala mchanga. Akiamka anaongoza njia.

Marekani wametumia sheria inayosema unaweza kupinga kusombwa sombwa ovyo ovyo bila utaratibu. Bado wanafuatilia mchakato wa kumrudisha New York alikoua na kukimbia.

Wakimlazimisha kumzoa kwa makofi Jaji wa kesi ya msingi anaweza kumwachia huru!

Kule ndio kuna wanasheria wasomi, na majaji wa ukweli.
Mnaleta nyuzi bila ya maelezo ya kutosha ?
 
Ingekuwa Bongo angepigwa kofi kerbu moja na Tanganyika jeki akala mchanga. Akiamka anaongoza njia.

Marekani wametumia sheria inayosema unaweza kupinga kusombwa sombwa ovyo ovyo bila utaratibu. Bado wanafuatilia mchakato wa kumrudisha New York alikoua na kukimbia.

Wakimlazimisha kumzoa kwa makofi Jaji wa kesi ya msingi anaweza kumwachia huru!

Kule ndio kuna wanasheria wasomi, na majaji wa ukweli.
Marekani kila jimbo/mkoa una sheria na kanuni zake.

Ni mfano halisi wa madaraka mikoani.
 
Back
Top Bottom