kwan unazan ccmu wanapenda aende , hizo kura za kishindo watazipata wap ? lzm muwepo wengi humu ili muonekane mnaipenda nchi yenu , kumbe mpo jela ya ccmuHamia huko bro
Kwani wewe unapaenda watu watumie mabavu na makali,o kufikiri badala ya ubongo waliopewa?Hamia huko bro
Kwani wewe unapaenda watu watumie mabavu na makali,o kufikiri badala ya ubongo waliopewa?
Sheria zimetungwa ili watekelezaji na wasimamizi wazifuate kikamilofu.
Mambo ya kutumia mabavu badala ya akili ndiyo husababisha watuhumiwa wengi kuachiwa huru kwenye kesi ndogo anapo rise kuteswa na kutwezwa utu wakati na baada ya ukamataji.
Vinginevyo kama huhudhurii ama kufuatilia masuala ya kimahakama.
kwan unazan ccmu wanapenda aende , hizo kura za kishindo watazipata wap ? lzm muwepo wengi humu ili muonekane mnaipenda nchi yenu , kumbe mpo jela ya ccmu
🤣🤣🤣kwan unazan ccmu wanapenda aende , hizo kura za kishindo watazipata wap ? lzm muwepo wengi humu ili muonekane mnaipenda nchi yenu , kumbe mpo jela ya ccmu
Mnaleta nyuzi bila ya maelezo ya kutosha ?Ingekuwa Bongo angepigwa kofi kerbu moja na Tanganyika jeki akala mchanga. Akiamka anaongoza njia.
Marekani wametumia sheria inayosema unaweza kupinga kusombwa sombwa ovyo ovyo bila utaratibu. Bado wanafuatilia mchakato wa kumrudisha New York alikoua na kukimbia.
Wakimlazimisha kumzoa kwa makofi Jaji wa kesi ya msingi anaweza kumwachia huru!
Kule ndio kuna wanasheria wasomi, na majaji wa ukweli.
Classic CCM propagandaSisiem wamechoka, lakini la kusikitisha hata zaidi m'badala wake wamechoka mpaka wanazimia.
Marekani kila jimbo/mkoa una sheria na kanuni zake.Ingekuwa Bongo angepigwa kofi kerbu moja na Tanganyika jeki akala mchanga. Akiamka anaongoza njia.
Marekani wametumia sheria inayosema unaweza kupinga kusombwa sombwa ovyo ovyo bila utaratibu. Bado wanafuatilia mchakato wa kumrudisha New York alikoua na kukimbia.
Wakimlazimisha kumzoa kwa makofi Jaji wa kesi ya msingi anaweza kumwachia huru!
Kule ndio kuna wanasheria wasomi, na majaji wa ukweli.