Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Teh unatoa tahadhari halafu tena unajikaanga na mafuta yakoAtakuwa huru soon aungane na askari mwenzie aliye chomoa roho ya Akwilina......tahadhari awamu hii roho nyingi zitavunwa na Magufuli kupitia polisi au kundi lake la wasio julikana. kuweni makini!
....Anayekamatwa na ngozi ndiye mwizi wa mbuzi, hili liwe fundisho kwa hawa askari wadogo kwamba kama wanategemea wakifanya mauwaji kwa lengo la kufurahisha wakubwa mambo yakiwa mazito wanarukwa tuu na kutolewa kafara.Wakati huyo askari mdogo akitumikia kifungo,maafisa wa juu walipandishwa vyeo,akiwemo Kamuhanda
Mahakama ilishatenda haki ndo maana akahukumiwa. Hopefully Mahakama ya rufaa nayo itatenda haki na kuitupilia mbali rufaa yake ili iwe fundisho kwa wengine.Mahakama itatenda haki, huenda akarudi uraiani kujumuika na familia yake
Pengine kabambikiwa, si ndio zaoWatu jasiri yani umeua mtu na bado wakata rufaa uachwe huru, damu ya mtu haiendi bure atakwama tu.
Inamana hao askari walikuwa wanampiga virungu mwandishi wa habari aliekuwa katika majukumu yake?View attachment 789473
Mtuhumiwa Pacifius, kwenye maelezo yake ya kujitetea na picha ni tofauti kabisa! Eti anajitetea kuwa alishtukia tu mlipuko baada ya marehemu kumshika mkono! Stupid kabisa!
Ndivyo ilivokuwa!Inamana hao askari walikuwa wanampiga virungu mwandishi wa habari aliekuwa katika majukumu yake?
Mbona huyo mtu amesha staafu kitambo mkuuWakati Kamuhanda yeye anakula bata tu makao makuu na kusoma magazeti.
punguza mihehemko