Aliyeniacha, amerudi kwa spidi ya hatari

Mimi kuna certain girl aliniblock nikamcheki namba nyingine kwanini umeniblock bla blah nyingi yaan she was want to ghost me nikamwambia kila mtu achukue time yake ,i dont beg for a woman ,i will beg for my mom lakini sio mademu hawa wa mjini
Tuishi nao kwa akili tu
 
Kabisa badilika usimpe ela demu au girl au mwanamke hadi uwe una uhakika ni wako naongea IN ALBERT MAGWAIR VOICE ....RIP :WEWE UNAHONGA WENZAKO WANAPIGA KISELA
Bebesha ujauzito.
 
Hivi wee rafiki yangu unae mke kweli? maana u mwingi wa mambo hadi sio poa.
Wanaume tuko wachache, sasa tukiwa na mpenzi mmoja tu hawa warembo wengine tutakuwa hatujawatendea haki, kwa sababu na wao wana hisia pia.​
 
Ni sawa na panya, huwa analiacha shimo na kutafuta jingine, baada ya kutanga tanga anagundua lile shimo la mwanzo lilikuwa na joto zaidi na haliingii maji wakati wa mvua, anaamua kurudi. Yupo tayari kupambana ili arudi tena kwenye shimo. Anaomba Mungu tu asikute nyoka kahamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…