Aliyenipa jina la Mreno

Mreno17

Member
Joined
May 13, 2013
Posts
8
Reaction score
3
Huyu jamaa anaitwa Ally a.k.a Pwiru au 50 Cent.. Huyu jamaa ndiye aliyenipa jina la Mreno akiwa katika hali hiyo hiyo kama anavyoonekana kutokana na uwezo wangu wa kupachika mabao. Jina likapata Exposure kubwa tu na ya kutosha ktk medani ya soka. Jamaa alikuwa "boxer" mzuri sana, Thomas Mashali anamjua vzr na hawezi kusimama nae ulingoni kutokana na uzito wa ngumi zake. Dah! Kipaji hiki kimepotea.. ROHO INANIUMA SANA.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…