Aliyenusurika katika ajali ya ghorofa Kariakoo asimulia alivyonasa na kuokolewa katika jengo hilo

Aliyenusurika katika ajali ya ghorofa Kariakoo asimulia alivyonasa na kuokolewa katika jengo hilo

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Inasikitisha sana, poleni wote waliofikwa na janga hili.

Miongoni mwa watu walionusurika katika ajali ya jengo la Kariakoo, jijini Dar es salaam Tanzania, Norbert Oswald amesimulia jinsi alivyonasa na kisha kuokolewa yeye na kaka yake wakati alipozungumza na mwandishi wa DW Yakub Talib.

Soma pia: Live Updates Kuporomoka kwa Ghorofa Kariakoo Nov 16: Watu 16 wafariki 77 waokolewa



Chanzo: DW
 
Back
Top Bottom