Inasikitisha sana, poleni wote waliofikwa na janga hili.
Miongoni mwa watu walionusurika katika ajali ya jengo la Kariakoo, jijini Dar es salaam Tanzania, Norbert Oswald amesimulia jinsi alivyonasa na kisha kuokolewa yeye na kaka yake wakati alipozungumza na mwandishi wa DW Yakub Talib.