Aliyeota sehemu za kiume ukubwani aomba msaada

MdengestanfromCuba

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
629
Reaction score
658
JINSIIIA LOGOO.jpeg

Kijana wa miaka 19 mkazi wa Bukoba, aliyezaliwa na jinsi ya kike na baadaye kuota sehemu za siri za kiume zilizopelekea sehemu za kike kuzibwa, anaomba msaada wa fedha aende nje ya nchi kuongezwa ukubwa wa maumbile ya kiume, yatakayomwezesha kufanya tendo la ndoa na kuzaa watoto.

Kijana huyo ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sasa anavaa mavazi ya kiume na kutumia majina ya kiume aliyoyapata baada ya kula kiapo mahakamani baada ya kukana majina yake ya kike aliyopewa awali mara baada ya kuzaliwa, majina ambayo aliyatumia kuanzia darasa la kwanza hadi la saba, na kusema anatamani kuoa na kupata watoto.

Mpigie ama tuma mchango wako kupitia namba 0765 135 480 jina ni MAFANIKIO ADELICK KARITUS

Video ya mahojiano yake na EA Radio:

(Source: EA Radio)

=============

UKISIKIA MAAJABU YA UUMBAJI NDIO HAYO SASA
 
Huwa inatokea hio hali labda Tanzania hatujawahi tu kuripotiwa,lakini huko Dominicani Republic na Uturuki watoto huzaliwa wakike na wakifika umri wa kubahele hubadilika kuwa wa kiume na kuendelea na maisha ya kiumeni
 
Anakuwa amefaidi kote kote
 
Kuna sehemu nilisoma muda kidogo umepita.

wanasema sometimes mtoto wa kiume anapozaliwa sehemu zake za siri zipo lakini zinaweza zisitoke nje zinakuwa zimejificha kwa ndani.
ukiziacha kwa muda zinaweza kutoka zenyewe baada ya miezi kadhaa au zinaweza zisitoke kabisa mpaka wafanye surgery.

Sasa kutokana na kukosa Elimu wazazi wa dogo wakamuachia mungu na kumkosesha dogo kupitia evolution of new discoveries.
Kila mtu anatakiwa adeal na matatizo yake mwenyewe kwa kutumia akili yake au kujumuisha na za wengine au haya ndio yanayotokea unapomuachia fulani.

Hiki kitu nadhani hata madaktari wa hiyo hospitali kipindi hicho hawakulitambua Ila kama angekuwa nje au wazazi wake wangemuwahi na surgery basi story ingeishia "and they lived happily ever after."

what a huge desperation.

Au labda hii story huyo jamaa ameitunga ili aweze kupitia ile shortcut ya maisha who knows.
 
View attachment 1923243

Kijana wa miaka 19 mkazi wa Bukoba, aliyezaliwa na jinsi ya kike na baadaye kuota sehemu za siri za kiume zilizopelekea sehemu za kike kuzibwa, anaomba msaada wa fedha aende nje ya nchi kuongezwa ukubwa wa maumbile ya kiume, yatakayomwezesha kufanya tendo la ndoa na kuzaa watoto.

Kijana huyo ambaye jina lake limehifadhiwa kwa sasa anavaa mavazi ya kiume na kutumia majina ya kiume aliyoyapata baada ya kula kiapo mahakamani baada ya kukana majina yake ya kike aliyopewa awali mara baada ya kuzaliwa, majina ambayo aliyatumia kuanzia darasa la kwanza hadi la saba, na kusema anatamani kuoa na kupata watoto.

Mpigie ama tuma mchango wako kupitia namba 0765 135 480 jina ni MAFANIKIO ADELICK KARITUS

Video ya mahojiano yake na EA Radio:

(Source: EA Radio)

=============

UKISIKIA MAAJABU YA UUMBAJI NDIO HAYO SASA

... japo zote ni changamoto za maisha ila bora mwanamke kujaliwa maumbile ya kiume kuliko mwanaume kugeuka mwanamke aisee!
 
Huwa inatokea hio hali labda Tanzania hatujawahi tu kuripotiwa,lakini huko Dominicani Republic na Uturuki watoto huzaliwa wakike na wakifika umri wa kubahele hubadilika kuwa wa kiume na kuendelea na maisha ya kiumeni
Hermaphrodite?! sio?
 
Kwa hiyo jamaa watu walijipigia sana sasa anataka na yeye awekewe apige?
 
Hermaphrodite?! sio?
Hapana,hermophrodite anakuwa na jinsia zote mbili kazaliwa nazo na anakua nazo, ila huyu anayezungumzwa humu anazaliwa akiwa na jinsia ya kike na muonekano wa kike akifika balehe ile jinsia ya kike inapotea na kabisa inakuja ya kiume na hata character za kiume zinaonekana kama ndevu,umbo nk
 
Au labda hii story huyo jamaa ameitunga ili aweze kupitia ile shortcut ya maisha who knows.
Hapana hajatunga

Ni tukio la kweli

Na amefika hadi hospitali ya Muhimbili na kufanyiwa uchumguzi

Fuatilia mahojiano yake hapa chini
 
Back
Top Bottom