Aliyependekeza ufupisho wa Tanzania National Road Agency kuwa TANROADS alifikiria nini?

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Tanzania
National Roads
Agency
(TANROADS) The Tanzania National Roads
Agency (TANROADS) is an
Executive Agency under the
Ministry of Works, Transport
and Communications,
established under section 3(1) of the Executive
Agencies Act (Cap 245) and
came into operation in July,
2000. Bado sijapata mantiki ya jina na kirefu chake anayefahamu afafanue.
 
Tanzania = Tanganyika + Zanzibar
 
Usikariri ilivyo TANESCO-TANzania Electric Supplies COmpany ukataka na TANROADS iwe hivyo. Ongeza wigo wa kufikiri
 
Ulitaka iwe T N R A?TAN N R A?TAN ROADS A?
 
Uzi tayari
 
Usikariri ilivyo TANESCO-TANzania Electric Supplies COmpany ukataka na TANROADS iwe hivyo. Ongeza wigo wa kufikiri
Kwenye uumbaji wa maneno vifupi ni aina mojawapo ya uumbajibwa wa maneno lakini hii mbinu ya ufupisho walioitumia TANROADS kutengeneza hicho kifupi kunahitajika elimu zaidi kutoka kwa wataalamu wa lugha kutuelimisha zaidi.
 
Mleta uzi kama kuna kitu nakielewa kwako hasa hako ka S ka mwisho.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu futa tu huu uzi..
 
Mkishashiba huwa mna matatizo sana.
Sa hii mambo safi watu wameshiba ajira zimetoka,madaraja yamepanda yani ni full Kushuta tu.
Yani hata sijui wapandoshe mafuta sijui konyagi,sisi haituhusu viko ndani ya uwezo wetu awamu hii.
 
Darasa la Saba B anahoji
 
Ni taasisi inayosimamia mitandao ya barabara ya nchi nzima Tanzania.

Waweza kutumia maneno kati ya haya -Taasisi "Agency" au kitengo maalum " Department" au idara maalum "Directorate".

Ila neno Taasisi au Agency ndo inalipa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…