Deal Done
Yule kiungo wa Mbao FC aliyepewa kishika uchumba na kupiga selfie na kiongozi wa Yanga ametimka na kusaini Simba SC kwa ajili ya kuimarisha kosi hilo la Msimbazi. Mido huyu ni Pius Baswita kutoka Mbao FC
Hizi ni habari mbaya sana kwa Yanga aka Dume Suruali