Aliyepewa milioni 10 na Diamond, Mzee Makosa asema atazitumia kupandia miti kwa ajili ya jamii

Aliyepewa milioni 10 na Diamond, Mzee Makosa asema atazitumia kupandia miti kwa ajili ya jamii

Nzuri, mzee anatambua na ameshafikia umri wa kuujua utajiri wa kweli kwa sasa ni zaidi ile 'legacy' atakayoiacha kuliko mambo mengine binafsi.

Kupanda miti ndio njia yake aliyoichagua na anaendelea kuifanyia kazi kwa kila rasilimali inayopita mikononi mwake

Rasta kwerikweri at the core
 
Mzee Makosa ni mtu wa watu; kiu yake ni ustawi wa jamii na mazingira.
Mungu amjalie afya tele na umri mrefu!
 
Back
Top Bottom