Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
He is well determinedMzee Makosa asema milioni 10 alizopewa na Diamond atazitumia kupandia miti kwa ajili ya jamii.
Unaonaje mpango huu wa Mzee Makosa?
Inabidi tumshauri aise ,ajiwekeze kwanza ,baada ya hapo ndio aangalie jamii ,asirudi tena kwenye umasikiniMzee Makosa amesema milioni 10 alizopewa na Diamond atazitumia kupandia miti kwa ajili ya jamii.
Soma, Pia: Diamond Platinumz ampa milioni 10 Mzee Makosa, aliyekuwa tajiri mkubwa Iringa na kufilisika
View attachment 3138607
Unaonaje mpango huu wa Mzee Makosa?
Kama ni pesa alishazipata yeye si zumbukukuInabidi tumshauri aise ,ajiwekeze kwanza ,baada ya hapo ndio aangalie jamii ,asirudi tena kwenye umasikini
Ziko wapi sasa? alishazipata na akazipoteza ,sasa ni wakati wa kujiweka sawa ili atleast mke wake asipate shida kama anazosema anafanya vibaruaKama ni pesa alishazipata yeye si zumbukuku