mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,125
- 1,753
Panapo majaaliwa siku ya Jumamosi Mchana tutazungumzia Viatu vya Jasiri Muongoza Njia (Ruge Mutahaba) baada ya kutangulia mbele ya haki.
Viatu vyake nani alipewa, na Je aliekabidhiwa Viatu hivo vinamtosha?
Rangi ya Viatu alivokuwa akivaa marehemu ndio hiyo bado ipo mpaka leo au aliepewa kavibadilisha? na Viatu hivo anavivaa wakati gani au ndio kaviweka Kabatini