Kuna kikazi cha siku 1 au 2 kwa mtu wa jinsi yoyote ambaye yuko Mtwara lakini hasa mwanaume atapewa kipaumbele zaidi. Mtu ambaye yuko sharp, smart na anajiamini na mwenye uelewa wa mambo.
Anicheki DM fasta na namba yake ya simu. Lazima uwe Mtwara mjini.