Habari ndugu zanguni.
Nina mtaji wa laki 2
Kama kuna mtu anaishi Toangoma tushirikiane, mimi makazi yangu ni Toangoma tufanye biashara ambayo anadhani tunaweza kuifanya vema kwa mtaji huo. Mimi si mwenyeji hivyo kwa mwenyeji itakua vema zaidi sababu anayajua mazingira yake vema.