Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
ππππ Daah yani zawadi ya 20k?Then apewe zawadi ya 20k
Itakuwa alipewa ashike baada ya mteja kuwa na mizigo mingi ya nguo na document πHuo mkoba aliuweka kwenye carrier ya bodaboda?!
Ni kweli au fix? Tuseme huyo kijana ni mlokole. Anipe mimi nimpelekee, ninamjua aliyepoteza.
Naona ni zuga tuItakuwa alipewa ashike baada ya mteja kuwa na mizigo mingi ya nguo na document π
Tunapangwa sana mzee wanguNaona ni zuga tu
Wewe kweli una moyo!Kweli Mungu yupo.