Aliyesababisha Bacca kupewa nyekundu nae kala umeme leo

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mwosha huoshwa sasa tutaelewana tu

Nassor Saadun jana alicheza mchezo wa Dar Derby na kumsababaishia kadi nyekundu beki wa Yanga Ibrahim Bacca na Yanga kucheza pungufu kwa katika zaidi ya 80 hapo jana.

Saadun leo amecheza tena mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya CHAN na kaingua kipindi cha pili na kupata kadi nyekundu.
 
Saaduni hana baya, sisi uto tukomae na Baka wetu tumwambie ukweli akue, Baka aambiwe yuko big team amwachie Diarra kufanya kazi yake ya kudaka na si yeye kudaka washambuliaji!
Kwani nani alimwambia Baka kuwa Saaduni angefunga? Angemwacha tu aende wala asingemfunga kipa bora, Ateba alienda na akagonga mwamba!!
 
Mwosha huoshwa sasa tutaelewana tu

Nassor Saadun jana alicheza mchezo wa Dar Derby na kumsababaishia kadi nyekundu beki wa Yanga Ibrahim Bacca na Yanga kucheza pungufu kwa katika zaidi ya 80 hapo jana.

Saadun leo amecheza tena mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya CHAN na kaingua kipindi cha pili na kupata kadi nyekundu.
SO AKASABABISHA TZ IFUNGWE?
 
So WHAT YANGA MWENZANGU? WANAOKUZUNGUKA SIJUI WAKOJE AISEEEE
 
Mwosha huoshwa sasa tutaelewana tu

Nassor Saadun jana alicheza mchezo wa Dar Derby na kumsababaishia kadi nyekundu beki wa Yanga Ibrahim Bacca na Yanga kucheza pungufu kwa katika zaidi ya 80 hapo jana.

Saadun leo amecheza tena mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya CHAN na kaingua kipindi cha pili na kupata kadi nyekundu.
Kwa hiyo ameikost stars au azam?MAKAMASI
 
Kumbe ndo,una,utaahiraa,kiasi hiki! kwaiyo ww,umefurahia Tz,' kucheza pungufu? nyie ndo,mna,sababisha waonekane wote hawana akili uko mlipo
 
Mchezaji chini ya saa 24 anacheza mechi 2,soka letu kivyetuvyetu
 
Back
Top Bottom