Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ni kweli kabisa na siwezi kumpinga ili kuhusu IQ yetu tulivyo watanzania.Watanzania kuna sehemu wakoloni wakati wanatugawa waliona akili zetu sio za kongo kuimba mziki wala kenya ubinafsi na kibaraka.
Kiukweli ukiishi nje ya nchi ndio unaona kuwa IQ zetu bado zinatatizo mfano utendaji wetu kuanzia serikali yenyewe mpaka wananchi wake wote ni sawa tu.
Utendaji wa serikali na wananchi unafanana sababu ni wakimatukio na kuangaliana wanacho fanya,hivi leo ukieleza ukweli kwa nini inatumika nguvu ya kujibu kwa vitendo sio kwa hoja.
Mweshimiwa lisu ukweli wake unajibiwa kwa nguvu na ccm nzima