Aliyesema tanzania IQ yetu ni ndogo ni kweli

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ni kweli kabisa na siwezi kumpinga ili kuhusu IQ yetu tulivyo watanzania.Watanzania kuna sehemu wakoloni wakati wanatugawa waliona akili zetu sio za kongo kuimba mziki wala kenya ubinafsi na kibaraka.

Kiukweli ukiishi nje ya nchi ndio unaona kuwa IQ zetu bado zinatatizo mfano utendaji wetu kuanzia serikali yenyewe mpaka wananchi wake wote ni sawa tu.

Utendaji wa serikali na wananchi unafanana sababu ni wakimatukio na kuangaliana wanacho fanya,hivi leo ukieleza ukweli kwa nini inatumika nguvu ya kujibu kwa vitendo sio kwa hoja.

Mweshimiwa lisu ukweli wake unajibiwa kwa nguvu na ccm nzima
 
Watanzania mnatumia asilimia 1 ya akili zenu 🀣. 99% mmewaachia mabeberu
 
Asante kwa kutuelewa pale tuliposema Kenya is a shithole country, but Tanzania is a most insane and shithole country in East Africa.
 
ni kweli IQ finyu ni pamoja na kulalamikia jambo bila kuibua alternative plans πŸ’

lakini kufanywa kibaraka na mabwenyenye ya ng'ambo ni dalili ya wazi kabisa iliyokamilika ya ufinyu wa IQ ya mtu, kukubali kukamatwa akili na kutumika kama remote control πŸ’
 
kwani elimu yako imetoka wapi na kwa nini unajifunza kwa wenye mafanikio sio wasio na mafanikio
 
kama waliweza kusema mwendazake kaletwa na Mungu na sasa wanamponda kuwa alikuwa kichaa unategemea nini? intelectuals wanaachwa vyeo wanapeana kiimani na kikabila mbaya zaidi wale failures ndio wanapewa shavu , vilaza ambao hata hawajui what is my name ndio wamejaa kwenye mawizara na taasisi nyeti. SHAME
 
Kuwa mfuasi wa CCM inabidi uvute bangi kidogo
 
kwani elimu yako imetoka wapi na kwa nini unajifunza kwa wenye mafanikio sio wasio na mafanikio
kweli IQ ni ya kiwango cha chini sana kwa stahili hii πŸ’

kwamba ukishajifunza kwa aliefanikiwa unakua kibaraka na mtumwa wake, right πŸ’

mentally finyu sana dah..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…