Rajab_B3
Member
- May 11, 2017
- 59
- 24
Hivi timu zetu za Taifa za mpira wa miguu upande wa wanaume na wavulana kwanini zinaharibu kila kukicha na kutuumiza sisi mashabiki? Tatizo ni Kocha, Wachezaji, Shirikisho la mpira, au Serikali?
Aliyepanga mechi ya Taifa stars ikachezwe Chamazi tukatoa sare na nahodha akasema udogo wa uwanja umechangia matokeo mabovu ni nani? Wakarudia kosa tena wakapanga mechi mwanza sikumbuki kocha alijetetea kwa lipi?
Tutaendelea kuwa kichwa cha Mwendawazimu mpaka lini?
Kama vipi timu za Taifa zifutwe tu kuliko kufungwa fungwa kila siku